Sunday, July 6, 2014

Alipangalo Allah hakuna wakupangua

Hujafa hujaumbika
Nadhani hili ni somo tosha kwa wenye akili

Habari

Naamshukuru Allah kwa kunijaalia afya njema hadi tarehe hii ya Leo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kubwa zaidi kwa kila kiumbe hai haijalishi ni bin Adam au Sio.  Alimuradi uwe ni kiumbe wa Allah hunabudi kumshukuru saaaaana kwani wapo wengi waliotarajia kufika siku hii ya leo lkn kwa mapenzi yake Allah haikua kama waliovyotarajia. Wajibu wako kumwambia Allah
AL-HAMDULILLAH RABBIL-AALAMIYN.
Kama shukurani ndogo kwake.

Saturday, July 5, 2014

DUQUQ TIME

Haya kwa Wale wapenzi wa daku ya saa 25:78:80 Karibun saaaaana tujumuike pamoja. Lakin kila atakaekaribia asisahau kuja na nyama
kg2
Michele kg3
Ngano kg3
Maharage kg2
Karibun saaaaana ndugu sanguine.