Sunday, July 6, 2014

Habari

Naamshukuru Allah kwa kunijaalia afya njema hadi tarehe hii ya Leo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kubwa zaidi kwa kila kiumbe hai haijalishi ni bin Adam au Sio.  Alimuradi uwe ni kiumbe wa Allah hunabudi kumshukuru saaaaana kwani wapo wengi waliotarajia kufika siku hii ya leo lkn kwa mapenzi yake Allah haikua kama waliovyotarajia. Wajibu wako kumwambia Allah
AL-HAMDULILLAH RABBIL-AALAMIYN.
Kama shukurani ndogo kwake.

No comments:

Post a Comment