Monday, September 22, 2014

LAKUCHUMPA

Dogo langu mwenyewe huyo kama unabisha muulize sema kabadilisha kabila tu!

Sunday, September 21, 2014

Saturday, September 20, 2014

Sydp

SHIA YOUTH DEVELOPMENT PROJECT http://maulidycom.blogspot.com/2014/09/shia-youth-development-project.html

SHIA YOUTH DEVELOPMENT PROJECT

           SHIA YOUTH DEVELOPMENT PROJECT
Hao ni baadhi ya vijana wa SYDP Moshi Kilimanjaro. Wanajitahidi kutengeneza baadhi ya mambo katika maisha yao yaani wanapata taabu kwa haya maisha na kusumbuka hapo Kilimanjaro ili baadae maisha yao yabaadae yawe mazuri. Kikubwa ni DUA zenu na hicho pekee ndio kitawasaidia.

KARIBUNI KILIMANJARO

                                              NJORO
Kama kawaida mitaa hiyo ni ya uwanjani NJORO

Kabla sijafika Kilimanjaro nilihisi ni mkoa mmoja mkubwa sana lakini baada ya kufika nikagundua KILIMANJARO ni mkoa ambao ni wakawaida tu na sifa zingine mnazozitumia baadhi zipo lkn nyingi kati ya hizo nisifa tu ambazo hazina ukweli ndani yake.

Sydp map

Maulidycom