Saturday, September 20, 2014

KARIBUNI KILIMANJARO

                                              NJORO
Kama kawaida mitaa hiyo ni ya uwanjani NJORO

Kabla sijafika Kilimanjaro nilihisi ni mkoa mmoja mkubwa sana lakini baada ya kufika nikagundua KILIMANJARO ni mkoa ambao ni wakawaida tu na sifa zingine mnazozitumia baadhi zipo lkn nyingi kati ya hizo nisifa tu ambazo hazina ukweli ndani yake.

No comments:

Post a Comment