Thursday, October 23, 2014
Soma ueleww
Monday, September 22, 2014
Sunday, September 21, 2014
Saturday, September 20, 2014
Sydp
SHIA YOUTH DEVELOPMENT PROJECT
SHIA YOUTH DEVELOPMENT PROJECT
Hao ni baadhi ya vijana wa SYDP Moshi Kilimanjaro. Wanajitahidi kutengeneza baadhi ya mambo katika maisha yao yaani wanapata taabu kwa haya maisha na kusumbuka hapo Kilimanjaro ili baadae maisha yao yabaadae yawe mazuri. Kikubwa ni DUA zenu na hicho pekee ndio kitawasaidia.
KARIBUNI KILIMANJARO
NJORO
Kama kawaida mitaa hiyo ni ya uwanjani NJORO
Kabla sijafika Kilimanjaro nilihisi ni mkoa mmoja mkubwa sana lakini baada ya kufika nikagundua KILIMANJARO ni mkoa ambao ni wakawaida tu na sifa zingine mnazozitumia baadhi zipo lkn nyingi kati ya hizo nisifa tu ambazo hazina ukweli ndani yake.
Thursday, July 10, 2014
Sunday, July 6, 2014
Habari
Naamshukuru Allah kwa kunijaalia afya njema hadi tarehe hii ya Leo ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kubwa zaidi kwa kila kiumbe hai haijalishi ni bin Adam au Sio. Alimuradi uwe ni kiumbe wa Allah hunabudi kumshukuru saaaaana kwani wapo wengi waliotarajia kufika siku hii ya leo lkn kwa mapenzi yake Allah haikua kama waliovyotarajia. Wajibu wako kumwambia Allah
AL-HAMDULILLAH RABBIL-AALAMIYN.
Kama shukurani ndogo kwake.
Saturday, July 5, 2014
DUQUQ TIME
Haya kwa Wale wapenzi wa daku ya saa 25:78:80 Karibun saaaaana tujumuike pamoja. Lakin kila atakaekaribia asisahau kuja na nyama
kg2
Michele kg3
Ngano kg3
Maharage kg2
Karibun saaaaana ndugu sanguine.
Friday, July 4, 2014
http://www.youtube.com/watch?v=T8yL5M-9jkE&feature=youtube_gdata_player